| Kwa Nini nitangaze Muziki yangu kwenye Mtandao wa Wenyewe?/ Why | |
Sababu wapenzi wengi zaidi, wa Muziki wa kwetu, wana tembelea WENYEWE.COM na kusikiliza muziki Kwa Mfano Mwaka 2008, nyimbo zilisikilizwa mara 2,575 |
|
| Gharama Gani? | |
Hakuna, jaza fomu, natupatie mp3, picha, stori kwa njia ya e-mail. Lakini WENYEWE wanaweza kukataa kama kuna kasoro yoyote |